Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA KITAIFA , HABARI ZA LEO - Simba yafanya kweli. yailaza Yanga 5-0

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Mchezaji wa timu ya Simba Emmanuel Okwi akishangilia goli mara baada ya kuifungia timu yake goli la kuongoza katika mchezo wa kumaliza michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom inayomalizika leo kwenye uwanja wa Taifa huku ikiwa tayari ni mabingwa wa ligi hiyo, Goli la pili la Simba limefungwa na mchezaji Felix Sunzu kwa njia ya penati na dakika chache zilizopita tayari Emmanuel Okwi ameongeza goli la tatu. Kipa Juma Kaseja ameongeza lingine kwa penati wakati Patrick Mafisango amepiga  goli la tano baada ya wachezaji wa Yanga kufanya makosa katika eneo la hatari

0 comments

Post a Comment